Chupa za chai

KACHINJA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
1,263
Reaction score
869
Kuna video inaonyesha yai la chupa ya chai katikat ya ukuta wa kwanza na pili kuna vidonge kama dawa viantolewa. Kwa wataalumu wa niambieni ni vyanini kama sio dawa vina kazi gani?
 

Attachments

Hiyo video ninayo sema kuiweka humu natumia cm inagoma jf siku hizi kutuma video kwa kutumia simu imekuwa ngumu sana inagoma
 
Ni video ya uzushi na wanao laumu kwa makampun ya chupa za chai katka ile video ni mambumbumbu wasiojua nn maana ya technology....vile sio vidonge bali ni karatac yenye fibles fulan hv na kaz yake kubwa nikutenganisha kuta mbili za kwenye yai la chupa ya chai......wa tz tuache umbumbumbu wakushutumu kila k2 ni u freemason! Kama ni hvyo achen kutumia cm zenu kwan zina vidoge ndani😂
 
Hili swala mbona humejadiliwa humu jf juzi juzi tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…