Chupi/Boxer ni hatari ki-afya

b191

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
742
Reaction score
1,031
Habari wanajamvi..

Utafiti uliofanywa na Dk Brian unaonyesha kuwa uvaaji wa chupi au boxer wakati wa kulala ni hatari kiafya kwa watu wote.

Baadhi ya madhara hayo ni Ugumba na maambukizi ya bacteria.



Nawasilisha.
 

Attachments

  • 1470809937489.jpg
    151.7 KB · Views: 104
yeah ni kweli hasa wanaume...ukizingatia usiku mshedede huwa unaenda wima unaunyima uhuru wa kucheza cheza ndo maana wengine mnaishia kuwa na vibamia na mihogo iliyopinda...lala uchi kwa afya yako
 


whats app 0712505049
uume legelege
kukosa hamu
uume kusinyaa
kuwai kumaliza
 
Hivi kuna watu wanavaa chupi hadi leo? mimi nalala mtupu kabisa boxer navua sitaki problems
 
Ata ivyo wanaume hatuvaagi chupi labda wew tu..! Wanaume ni boxer bana chupi ni za madada
Mimi nimeona hoja iliyokuwepo kwani chupi haziuzwi madukani? ila mimi nilishahama huko siku nyingi probaply 20 yrs back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…