bora we unayo moja kuna watu pichu kwao ni msamiati tata kwelikweli!mimi ninayo moja, huwa nikiifua naivaa hivyo hivyo! hukaukia mwilini! sijawahi kuanika!
mnaanikaje chupi nje jamani...chupi,soksi pamoja na taulo vinaanikwa bafuni tena unafunga taa maalum kwa ajili ya kukausha na kuua bacteria
wewe unafikir kila mtu ana bafu lake rafiki yangu?wengine tunashare mabafu na vyoo hivo oh!
umeona enh!sasa wengine pichu ni za vikamba tu na wengine ndo yale makaptura,sa tukianika nje si ndo mambo ya aibu haya!u wengine ndo zile ennzi zetu wavulana walikuwa wanatuwekea vioo kwa chini af wanakusogelea afa wanavunjika mbavu!ahahahhahhaha akha babu!mambo mengine kujitafutia aibu tu kwenye foleni za maji!ahahahhaahahhahahhahaunaweza pata kesi ya kumtega mume wa mtu lol
au ya kutisha watoto lol
mnaanikaje chupi nje jamani...chupi,soksi pamoja na taulo vinaanikwa bafuni tena unafunga taa maalum kwa ajili ya kukausha na kuua bacteria
sianiki kwa sababu natumia dispozabo.....