Chupi yako unaanika wapi.................?

ameeen!
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mbavu zanguuuuuuuuuuu huku.

Sio mbavu zako Philipo,
yani utakuta mwanaume kaingia ktk daladala,siti zipo za kukaa lakini anang'ang'ania asimame,kisa tu mbele yake kasimama demu.
Basi gari likienda kushoto analo,kulia anarudi nalo,likifika kwenye tuta tu utakuta ashatengeneza 'mdule'
Dk mbili unashangaa 'wazungu' hao,
afu anashuka kituo kisicho chake.
Nyie nyie nyie,
Ole wenu.
 
kama wewe ulivyoumbika siwezi kukaa karibu yako bila kusisimkwa ninyi watamu bana.yaani maneno yako tu matamu sasa we ukoje?

Ndo mana Rutta wangu alininunulia gari mapema ili kuepuka wanaume wakware kwenye madaladala.
Na ndomana wanaume wengi Duniani wanachelewa kuoa au kununua magari binafsi kwa utamu wa kupanda kwenye madaladala,ili mradi tugusanegusane tu
 
Ningeshangaa nisingekuona katika mada hii
na nilikuwa na mpango wa kukuita....
Hujambo lakini mama mdogo.......

Nipo Msiri wangu wa Karibu.
Hv ktk kupanda kwako daladala,hujawahi kupata kashkash na Mademu wa wenzako?
Na ndo mana nyie wanaume hamkosagi hengachifu mifukoni.
 
Hahahaha
baaaaaaaaaasiiii
 
Nipo Msiri wangu wa Karibu.
Hv ktk kupanda kwako daladala,hujawahi kupata kashkash na Mademu wa wenzako?
Na ndo mana nyie wanaume hamkosagi hengachifu mifukoni.

Wa daladala hawafaidi,sisi wa enzi za UDA ndio ilikuwa mambo yote na tulivyokuwa tunabanana ukielewana naye unamalizana naye ndani ya UDA kisha kila mtu anashika ustaarabu wake kesharidhika....
 
Wa daladala hawafaidi,sisi wa enzi za UDA ndio ilikuwa mambo yote na tulivyokuwa tunabanana ukielewana naye unamalizana naye ndani ya UDA kisha kila mtu anashika ustaarabu wake kesharidhika....

hahahahahahahaha,
uwiiiii,
usinichekeshe bhana.
Sasa huyo mdada atakuwa amevaa sketi yenye tobo au mnageukiana?
 
km una gari au pikipiki unaitundika kwenye side mirrow ili kipindi unaendesha ipigwe na upepo mkali ili kuondoa bakteria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…