Chupi yako unaanika wapi.................?

mbele yenu kuna wakati tunapoteza kumbu kumbu,na tukishapoteza kumbu kumbu tunatamani tuwafaidi angalau kwa macho.sasa tukisharuhusu macho yaangaze zaidi ndo tunapoharibu hapo mtu unajiminya mgongoni unafumba macho kama ndo umebambia mzigo ghafla wazungu wapo mlima kilimanjaro wanatalii.pua ishatema kamasi tena hapo.
 

...Twende kazi philipo kidwanga.
 
Last edited by a moderator:

ivi chupi ni vazi la kuficha eeh?
mbona zinauzwa madukani...?au kwa sababu ni mpyaa?
tatizo letu wengi tunaanika CHUPI mafichoni kwa sababu ya UKURUTU unaoota kwenye nguo hizo,,,unakuta kichupi cheusiiiii hapa kwa mbele...haswa nyie wa....!!!
uchafu wetu tu ndio unatufunga...ila kiafya chupi itundike nje...kweupeee...ipate hewa na jua kuua vijidudu...
 
hapo kwenye redi 'omba samahani kwanza'

 


hiyo ndiyo habari ya mujini...
tena raha yake upate Tandamu...hiloo..kama faruu...mlaini kama maini..lol Madame B ngoma isambe, ngoma inayeyaa...
hata wadada siku hizi wanasugua kinaniliu chao, au matiti wanapopata mbanano...unafikiri hatujui...
 
Last edited by a moderator:
hiyo ndiyo habari ya mujini...
tena raha yake upate Tandamu...hiloo..kama faruu...mlaini kama maini..lol Madame B ngoma isambe, ngoma inayeyaa...
hata wadada siku hizi wanasugua kinaniliu chao, au matiti wanapopata mbanano...unafikiri hatujui...

Looooohh!!
BAGAH,
Acha Uwongo wewe!!
Sie mpaka tupandishe sketi au tuvue suruali hujakamatwa tu?
Nyie ndo mpango mzima,
Toka Magomeni mpaka Jangwani mshajaza 'kikombe cha Kahawa'.
Nilishawahi kumshika mtu mzima 'ududu' wake kwenye daladala.
Dawa yao ni Hiyo tu.
 
Last edited by a moderator:

hahahahaaa,,,,mdau unajua unaingiza mada juu ya mada ya chupi,umenifurahisha hapa nipo kwa daladala,,,,then unaanza kuimba MABATA MADOGODOGO YANAOGELEEEEA,YANAOGELEEEA,KATIKA SHAMBA ZUURI LA BOSTANIIIIII,,,YANAPAENDA KULIA KWAKWA KWAKWA KWAAAKWA,KWAKWA KWAKWA KWAAAKWA,YANAPENDA KUTEMBEA BILA VIATUUUU,BILA VIATUUUU,KATIKA SHAMBA ZUUURI LA BOSTANIIIII,
HAYA TUENDELEE KUIJADILI CHUPI,JE IANIKWE WAPI????
 
mi yangu huwa ni chumbani

unahofia nini????kunguru?
Me huwa naanika nje,ila sasa juzi boxa 3 zimepotea,nawaza nimuulize nan???au nianze na mama mwenye nyumba anitangazie?kwa wapangaj wenzangu
 
Naiii moja hiyo mkuu!!hivi kwa TZ ni sawa na wapi?

kwa hapa Dar inaweza fanana na maeneo ya Tandale au Manzese..yaani huko muda wote pilika tu ,ni kama kule Gikomba au Umoja
 
zile nyeupe ambazo hazijagina wala kutoboka naanika nje. Zilizobakia naanika kwenye chaga la kitanda.
 

hahaha Madame mchokozi. Uliposhika ukajickiaje?
 
Huwa sivai hiyo makitu, that means sifui indicating that sianiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…