Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
MkuuFlat.
nataka kuanza biashara hii ya chupi bei ya jumla inakuwaje !
Yupi unamuulizia?Mkuu
Shem mzima ?
Uliyelala nae mara ya mwishoYupi unamuulizia?
wapo wengi.
please specify
sijajua habari zakeUliyelala nae mara ya mwisho
Naomba kuja pm tuyajengesijajua habari zake
it was a single night stand
hata namba sikuchukua
JLW Kuna Uzi wa machimboNaomba kuja pm tuyajenge
Na mmi ni mhunin wa ONS
1000 kuanzia piece 100nataka kuanza biashara hii ya chupi bei ya jumla inakuwaje !
....na itakuwa,unachanganya ...Aina,rangi,material na size sio!1000 kuanzia piece 100
Ndiyo ila aina ni hii tu na size ni medium. Karibu kwa mawasiliano zaidi....na itakuwa,unachanganya ...Aina,rangi,material na size sio!
Nakuja fastaa πππMimi namnunulia 10 muuzaji. Akiwa tayari anione pm. Ni jirani yangu mimi home Mvuti
Basi nitumie picha nione size yako nikubebee kutoka KariakooNakuja fastaa πππ
Ata kama hazinitoshi nitaziweka kuvaa nikipungua π
Akuuu... Ninunulie hizi hizi. Ukininunupia toka kwingine inakua tabia mbaya πππBasi nitumie picha nione size yako nikubebee kutoka Kariakoo
Basi hebu nisevu naomba. Weekend nipitie hapo nikununulie.Akuuu... Ninunulie hizi hizi. Ukininunupia toka kwingine inakua tabia mbaya πππ
chukua 5,nitalipa.Chupi bado zipo wakuu
Karibuni sana.
Bei ganiAtakaezipenda anitag nimnunulie.
Luckman1
Asante.Habari,
Pata chupi nzuri za cotton nzito na nyepesi kwa 1500 tu.
Tunapatikana Chanika, Dar es Salaam. Delivery ipo kwa Dar na mikoani tunatuma.
Size: Medium
Mawasiliano: 0743032600
View attachment 1466352View attachment 1466353View attachment 1466354View attachment 1466355View attachment 1466357View attachment 1466356View attachment 1466358View attachment 1466359View attachment 1466360View attachment 1466361
Sent using Jamii Forums mobile app