Chupi za kike zinauzwa

Nimetoa macho mwanzo mwisho ili nione kama una zile za tukamba kamba (G strings) ila sijaziona hivi unazo kweli?
Wengine tushasahau chupi zile ndio zenyewe!!
 
Zipo hapo juu kaziweka.mimi mwenyewe nilikodoa macho wee sikuziona😁😁
 
Beba unazozitaka bill juu yangu mama, next time ntapenda nione jinsi zilivyokukaa vizuri pia bibie😍😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…