Chupi za wadada zenye mfuko kwa mbele ni maalum kwa kuweka nini?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Nimeona wadada zaidi ya wanne wamevaa hzo chupi (tembelea ufukweni).

Sasa najiuliza hyo mifuko ni mapambo tu au utaweza kuhifadhi kitu? Na ukitaka kutoa utatoaje mbele za watu?

Nielewesheni jamani
 
Niliwahi kumshuhudia m1 akiwa anahifadhi ndomu humo ndani ya hutwo tupochi... yaani lol!!
 
wanahifadhi mchele, tena zinabeba gunia 6.
 
Kukiwekwa kitu si kitaharibika!! mana kile kipochi manyoya huwa kinatema heat la hatari!!
 
Tunaweka silaha, take aways na vitu kama simu..n etc.
 
Heh mbona mi nilijua kuwa za wakaka ndo zina mifuko?
 
Kama umeipenda kanunue na wewe uvae ndo utajua matumizi ya huo mfuko.
 
subiri nikazitafute, nikiziona ndo nitajua wanaweka nini.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…