Chupi za wadada zenye mfuko kwa mbele ni maalum kwa kuweka nini?

Labda wanaweka vitambaa vya shughuli maalum..

Au kuweka hela? Maana wanaume zamani tulikuwa tunaficha fedha kwenye soksi na wanawake kwenye matiti, hivyo labda designer wa hiyo kitu alilenga hivyo!!!
 
Au kuweka hela? Maana wanaume zamani tulikuwa tunaficha fedha kwenye soksi na wanawake kwenye matiti, hivyo labda designer wa hiyo kitu alilenga hivyo!!!

Mpaka leo,solsi ni kifichio kikubwa cha pesa kwa wanaume!

Ila kichupi,tena cha beach.... Aah.. Vitambaa maalum tu mkuu!
 
Ni kwa ajili ya kuweka locker keys.kwenye beach nyingi au kwenye hotel zenye swiming pool kuna lockers za kuweka Nguo na vitu vyako unapoenda oga.so ukishafunga locker unakuwa na kajifunguo chako unakiweka katika chup¥
 
Ndo maana sometime ukipishana na sista duu pale kati pamejaa jaa nilikuwa nadhani ni upepo tu
 
Beach ulienda kwa shughuli yako binafsi au kuchunguza vyupi vya wadada? taratibu mpwa
 
Swaga za kishamba tu hizo wengi wao wanaweka ugoro na bange.au unakuta mdada kavaa BONGE la mchupi kama pensi
 
Beach ulienda kwa shughuli yako binafsi au kuchunguza vyupi vya wadada? taratibu mpwa

mi naenda kuthaminisha tu maumbo ya viburudisho vyetu.Mbona kama kuogelea kwa jirani kuna swiming pool
 
Swaga za kishamba tu hizo wengi wao wanaweka ugoro na bange.au unakuta mdada kavaa BONGE la mchupi kama pensi

Sasa hivyo viugoro na bange....si vitalowalana tu akiwa anaogelea? Alafu ndugu, yategemea mapenzi ya mhusika kuvaa chupi anayoipendelea yeye......iwe ni BONGE la mchupi or whatever kind!!
 
Sasa hivyo viugoro na bange....si vitalowalana tu akiwa anaogelea? Alafu ndugu, yategemea mapenzi ya mhusika kuvaa chupi anayoipendelea yeye......iwe ni BONGE la mchupi or whatever kind!!

sasa akivaa mchupi si sambusa yote itabaki nje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…