Chupu chupu frm hiv infection;kibiriti na maisha ya umri wa kati

dah.hi hiv ni mateso ya dunia haya.jaribu kwenda mwananyamala or muhimbili muone.its hel.lets pray that god protect us..
 

Hivi kwanza utafikaje VCT halafu ukapimwa ukimwi kama malaria bila kupitia councelling na kuwa tayari for tests?
 
Vipi na wewe ushamwambia mwenyewe status yake?
 

Hicho kibiriti ngoma, hakiwezekani.
 
Swali narudia tena ushamwambia mwenzako kama anao aanze mkakati wa mkurabita???
 



Hii inafa kuwa kwenye matangazo yale.........."kwa hisani ya watu wa marekani"...


Back to the story...yes ni muhimu amwambie ukweli yule demu wa pembeni....akae chini na demu/ wife wake wa jiulize wanaenda wapi...kama wanataka kuendelea basi wakapime halafu wawewaaminifu!!
 
Michelle,kwa ushauri wako huu wapili wamaanisha kua aamue kunyoa au kusuka hata kama kichwa chenyewe kina mapunye??

mapunye yanatibika.mtu akiamua kutafuta tiba na kujikinga asipate mapunye tena.....ishu ni aamue yeye kuyaondoa hayo mapunye .......asipoamua hivyo then waweza muacha aendelee kuwa nayo!
 
Hivi kwanza utafikaje VCT halafu ukapimwa ukimwi kama malaria bila kupitia councelling na kuwa tayari for tests?

nyingi tu hazitoi counselling especially zile za kulipia.....na si kila mtu anataka counselling wengine hukataa na hakuna wa kukulazimisha!!
 
Hivi kwanza utafikaje VCT halafu ukapimwa ukimwi kama malaria bila kupitia councelling na kuwa tayari for tests?
Bora kumbe siku hizi kuna mpaka councelling, sisi enzi hizo ushanyaka makaratasi yako ya DV-Lottery unaambiwa kwenda kichwa kichwa pale Hindu Mandal kupima ngoma~mwe ilikuwa shughuli.
 
Yaani wewe bado unaamini kondom ni kinga kweli??? how much does it cost? Do you think the cost of the condom reflects your value??? Mmmmhhh!!! why is condom so cheap??? Bado ni kitendawili!! Waliotengeneza wanatujali sana sisi??
Nami sina jibu.

Ushauri:
Usijihusishe na ngono kabla ya ndoa, huna sababu ya kufa kwa maambukizo kama hujaolewa.
Mkapime kabla ya kujamiiana kufuatana na kanuni za kupima zinavyokuhitaji.
Kuwa mwaminifu kwa mwenza wako,

.
 

Umesoma comment yangu vizuri kweli?
 

Nimeshaona watu waliombiwa kwamba ni waathirika na kuishi maisha ya wasiwasi kwa miaka mingi na maisha yao kuharibika kabisa maana wengine walipoteza hata kazi kwa kukosa concentration kazini na baada ya miaka kupita ikaja kuonekana hawakuwa waathirika ila kuna makosa yalifanyika kwenye vipimo vyao. Wengi walifungua mashtaka na kulipwa fidia kubwa, hivyo inabidi mdada aambiwe ukweli na pia akafanye HIV TEST sehemu nyingine at least mbili tofauti ili kupata uhakika kama kweli ni muathirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…