Chupuchupu apate zero

Chupuchupu apate zero

basha unguja

Member
Joined
Sep 28, 2016
Posts
83
Reaction score
77
Mie salimini waungwana sijui nyie?

Kulikuwa na UFUDU mmoja, ila ulikalaza alikuwa anajitakiaga mwenyewe coz hakuwa ameweka jitihada kwenye masomo yake, siku moja akiwa katika chumba cha mtihani UFUDU alionekana wenye uso wa washangwe sanaaa, kumbe anaamini aliye kaa nae ni KICHWA sana hivyo, akawa anajuafika atafanya process ya chabolazition vizuri tu, kweli wakafanya mtihani UFUDU akafanye yake kiroho safi! Siku wakiwa wanarudishiwa mitihani UFUDU akiwa na matumaini ya kutusua gafla best ake akarudishiwa paper lake, akichungulia kwa mbaali UFUDU akaona mwenzake kapata Zero..''0'' Kishuzi mshtuko kikamtoka...pye pye pyeeeee!!! Mvurugiko wa tumbo ,bandama na kongosho vilimtawala.....Ticha akafika hitimisho UFUDU hajapata paper lake, mwalimu akamwambia amuone, Ticha akiwa haelewi kamissplace wapi paper la UFUDU , mara Ticha akamwambia UFUDU nakukadiria marks utaridhika? UFUDU faster faster akaitikia huku kiushuzi furaha kikimponyoka pyuuu! UFUDU akapatiwa marks 50%!
UFUDU CHUPUCHUPU APATE ZERO!
(fiction story)
MY TAKE: JAMANI KILA MTU KICHWA PANAPO KUWEKA BIDII KATIKA KILA JAMBO! TUSISUBIRI KUTOKA KIBATI NASIBU ATI TUTAFELI SANA TUKISUBIRI HIVYO, TUWEKE BIDII ATI!

YOURS,
Yakhe!
 
Back
Top Bottom