Naweza nisiwe tajiri lkn najiweza kwa kiasi chake.Tatizo moja la wabongo sa hivi kila mtu anajua biashara ni kufuga kuku,ng'ombe,kware mara sungura,kulima matikiti.
Nafanya biashara kulingana na profession yangu,consultation business hapa mjini watu wanakula maisha tu.Haiwezekani kila engineer awaze kufuga tu wkt angeweza kufungua Co. Ya ku deal na inshu zake za engineering same same kwa mwanasheria,mhasibu,watu wa ardhi etc.
Tatizo watu wanaaminishwa ujasiriamali sio lazima mtu asome yaani ni full ku discourage kuwaonyesha walipoteza muda darasani wakati huo ni uongo mtupu.