Habari wana JamiiForums!
Natamani kuagiza gari lakini kuna kitu sielewi. Naomba kufahamishwa maana ya neno CIF kwenye uagizaji wa magari mtandaoni. Mfano gari limeandikiwa Dar es salaam port Total cost CIF $2538.
Je kuna kiasi kingine nitatakiwa kulipia kabla ya kulichukua gari langu?