Ndio utatakiwa ulipieJe kuna kiasi kingine nitatakiwa kulipia kabla ya kulichukua gari langu?
Ahsante mkuuNdio utatakiwa ulipie
- Agency Fee
- Ghalama za Bandari
- Kodi TRA
Pitia hii thread upate mwanga zaidi: Suala la Kodi TRA: Magufuli, kwa mwenendo huu utashindwa tu
[emoji32]CIF ni cost of the car, Inspection na freight. INSURANCE HAIKO HAPO unalipia separate
duh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]CIF ni cost of the car, Inspection na freight. INSURANCE HAIKO HAPO unalipia separate
Mkuu hatuna usumbufu wowote ili mradi ulete nataka zako on time.Yes thank you nimehakikisha kwenye page ya japan ni cost insurance na freight. Ila please kwa wanaoagiza gari japan hakikisha akikwambia CIF anamaanisha insurance cover pia.
Manake inaweza kuwa wanalalia wateja wao kwa hilo.
Pia sisitiza na hakikisha wanafanya inspection hukohuko litokako gari manake hapa bongo wakala wa bandari wasumbufu mno.
Cif ni incorterms za kibishiara kwa maana mzigo unasafirishwa ikiwa na gharama ya kitu, usafiri na insurance. Kuna Fob ambapo mzigo una safirishwa ikiwa na gharama ya kitu tu gharama nyingine mnunuzi nalipia akitoa mzigo.Ok sijui kwa kampuni mulizotumia kama wanawapa insurance kama CIF. Ila kwa kampuni za japan wanazouza gari nilizotumia CIF wanakupa cost ya gari, inspection (out of radiation na inspection for Tanzania standards) na freight ndio usafirishaji wa gari mpaka port iliyokaribu nawe au port utakayopendekeza. inspection ukifanyia nchi inapotoka gari kama japan au dubai inakuwa rahisi na ina save muda kuliko kuja kufanyiwa Tanzania inayochelewesha muda na hivyo inachangia kucheleweshwa kutoka bandarini na kuchajiwa surcharges.
Insurance haiwekwi kwenye CIF kwa kuwa meli inayosafirisha ndio inayotoza ni kama $150 kwa gari dogo.
ikiwa haina insurance sio CiF tena, hiyo ni incoterm tu inayohusiana na International trade , zipo incoterms nyingi tu ila cif ni commonYes thank you nimehakikisha kwenye page ya japan ni cost insurance na freight. Ila please kwa wanaoagiza gari japan hakikisha akikwambia CIF anamaanisha insurance cover pia.
Manake inaweza kuwa wanalalia wateja wao kwa hilo.
Pia sisitiza na hakikisha wanafanya inspection hukohuko litokako gari manake hapa bongo wakala wa bandari wasumbufu mno.