"Cigar kubwa zinauzwa"..

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
2,460
Reaction score
987
--Hizi ni moja ya Cigar bora duniani ambazo zimetengenezwa nchini CUBA, ambazo zimewahi kutumika na watu maarufu na mashuhuri sana duniani kama vilf Fidel Castro na Cheguevara,


--Na mpaka saivi bado inatumika na watu na wasanii maarufu duniani kama vile Rick ross


--Na hii inatokana na ubora wa tumbaku yake pamoja na usindikaji wa hali ya juu..

-Bei yake ni Elf 12 kwa moja

-Na kwa pack nzima ni Laki 2 na nusu, kwenye pack nzima zipo 26

Anehitaji ani PM

--ONYO UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO--
..Tafadhali vuta
kistaarabu..
 

Attachments

  • cs-rfa.jpg
    20.2 KB · Views: 355
  • cs-roa.jpg
    18.6 KB · Views: 231
  • romeo-julieta-mille-fleurs-b.jpg
    52.9 KB · Views: 256
  • Romeo_y_Julieta_Duke.jpg
    39.1 KB · Views: 205
  • che-guevara-1960-print-c10287697.jpg
    17.5 KB · Views: 213
Yanaonekana kwenye umbo zuri
Niliwahi sikia ukiivuta uwe umeshiba vema
laa ! sivyo unaweza jiny*a bure.
 
Yanaonekana kwenye umbo zuri
Niliwahi sikia ukiivuta uwe umeshiba vema
laa ! sivyo unaweza jiny*a bure.

Unatakiwa uwe unakula vizuri na ushibe kweli, sio unashindia Chai na mkate alafu unavuta hi utakufa tukusahau
 
Bado zipo jamani, kama unahitaji ni PM
 
Am a ganja planter...call me de ganja farmer... deep in da de earth we put de ganja babylon come....
 

Ukivuta kiustaarabu afya ndio haitadhurika?
 

We utadakwa mda c mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…