Cinthia Rothrock na Richard Norton

Cinthia Rothrock na Richard Norton

denoo49

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
6,113
Reaction score
6,950
Wakuu, hasa wale waliokua wapenzi wa movie za action miaka ya 90's, mwanye kumbukumbu walipo hawa mastaa wa movie toka hollywood, atujuze.
Walikua maarufu sana miaka ya 90's wakitamba na movies kama "under of ur table", "range of honor" na nyinginezo nyingi.
 
Cynthia rothrock alikua noma

Sent from my IPhone using Tapatalk
 
Cynthia ameolewa na jamaa mmoja hivi anaitwa richard wapo dsm kumbe walianzia kwenye movie tena hollywood
 
Cynthia ameolewa na jamaa mmoja hivi anaitwa richard wapo dsm kumbe walianzia kwenye movie tena hollywood
Usichanganye mambo ndugu! Cynthia anaeongelewa hapa ni Rothrock , mzungu, sio Masasi, mbongo. Km umecheki 'No retreat no surrender Pt 2, yumo. Huyu Rothrock alikuwa mkali wa movie za mapigano toka Hollywood, Ca. Kwa sasa umri umekwenda sana.
 
Duh, umenikumbusha cynthia rothrock. Ilikuwa mwake sana. Hata sina habari zake yaani.
 
Yuko chanel moja hivi marekani siikumbuki jina ,sasa hivi ni mkufunzi wa karate.
 
movie ya mwisho Cynthia kucheza ilikuwa 2004 inaitwa Xtreme Fighter then akatangaza kustaafu na kwenda kufundisha martial arts japokuwa inasemekana anaweza kurudi muda wowote kwenye fani na atakuwa anadirect movies pia.sina uhakika kama ataendelea kutamba coz sekta ya film sasa hivi ina ushindani sana. Anyway lets wait for her

Kuna movies zinatoka mwaka huu baadae na mwakani Cynthia atakuwepo ndani so tutapata chance ya kumuona.
 
Hahahahahhaah cynthia khan je?

Huyo naye ana muda hajaonekana kwenye movies jina lake kamili ni Yang Li-Tsing hilo la cynthia khan ni muunganiko wa Cynthia rothrock na Michelle Khan(mcheza film mwingine naye mkali wa martial arts).
 
jinsi ninavyom-miss angela mao!
 
Yuko chanel moja hivi marekani siikumbuki jina ,sasa hivi ni mkufunzi wa karate.

Kama una kingamuzi (decorder) ya DSTV ni channel number 129 iitwayo Black Belt (bbelt0 anaonekana kila siku kama instructor!
 
Cynthia ameolewa na jamaa mmoja hivi anaitwa richard wapo dsm kumbe walianzia kwenye movie tena hollywood

Moshi wa Aspen Umekuchanganya nini? Cynthia Masasi na Richard Mziray umewachanganya na Rothrock na Norton? Au Ulitaka kuleta Ucheshi?
 
Mzee wa kubariki na kuua je? Boro Young ... nafkr nw lazima anatembelea mkongoji!
 
Mzee wa kubariki na kuua je? Boro Young ... nafkr nw lazima anatembelea mkongoji!

Anaitwa "---- Yeung" tangu 2007 au 2008 hajaonekana tena,atakuwa mzee now.
Ni Boro but ondoa 'r' weka 'l' najaribu kupost inakataa coz JF inatafsiri kama ni tusi.
 
Back
Top Bottom