Usichanganye mambo ndugu! Cynthia anaeongelewa hapa ni Rothrock , mzungu, sio Masasi, mbongo. Km umecheki 'No retreat no surrender Pt 2, yumo. Huyu Rothrock alikuwa mkali wa movie za mapigano toka Hollywood, Ca. Kwa sasa umri umekwenda sana.Cynthia ameolewa na jamaa mmoja hivi anaitwa richard wapo dsm kumbe walianzia kwenye movie tena hollywood
Cynthia ameolewa na jamaa mmoja hivi anaitwa richard wapo dsm kumbe walianzia kwenye movie tena hollywood

Hahahahahhaah cynthia khan je?
jinsi ninavyom-miss angela mao!Huyo naye ana muda hajaonekana kwenye movies jina lake kamili ni Yang Li-Tsing hilo la cynthia khan ni muunganiko wa Cynthia rothrock na Michelle Khan(mcheza film mwingine naye mkali wa martial arts).
Yuko chanel moja hivi marekani siikumbuki jina ,sasa hivi ni mkufunzi wa karate.
Cynthia ameolewa na jamaa mmoja hivi anaitwa richard wapo dsm kumbe walianzia kwenye movie tena hollywood
Mzee wa kubariki na kuua je? Boro Young ... nafkr nw lazima anatembelea mkongoji!