Baada ya wiki tangu amalize cipro, afanye stool culture and sensitivity test. Hapo utapata ukweli kama bado hao bacteria bado wapo au wameishaWiki 2 zilizopita mke wangu alimaliza dozi ya ciprofaxin za India.
Sasa nashangaa anaumwa tena, dalili zile zile.
naomba msaada wa dawa zipi efective za kutibu typhoid.
je, baada ya kumeza dawa za typhoid, inatakiwa muda gani upite ndo mtu ameze tena??
Pamoja na kukubali kwamba cipro za Ujerumani ni ghali, lakini kwa Tanzania hizo cipro zinazodaiwa kuwa za ujerumani zinaweza pia kuwa fake. Hatuna njia ya kusema kwa uhakika kama ni genuine. Unakumbuka zile Metakelfin fake za ITALY?Nchi hii ina Cipro ya Ujerumani-inauzwa laki kwenda mbele nazandia zinaanzia 2000 mpaka 15000!Ebu tuwekane sawa hapa effectiveness yahizi dawa nisawa kweli?
Nchi hii ina Cipro ya Ujerumani-inauzwa laki kwenda mbele nazandia zinaanzia 2000 mpaka 15000!Ebu tuwekane sawa hapa effectiveness yahizi dawa nisawa kweli?
Wiki 2 zilizopita mke wangu alimaliza dozi ya ciprofaxin za India.
Sasa nashangaa anaumwa tena, dalili zile zile.
naomba msaada wa dawa zipi efective za kutibu typhoid.
je, baada ya kumeza dawa za typhoid, inatakiwa muda gani upite ndo mtu ameze tena??
Mimi nilizitumia kabla ya Christmas last year nikapadhani nimepona, ilivyopita 2 weeks nikaumwa tena, this time nikadhani ni malaria kupima sina nilipotaka kupima typhoid walisema haitaonekana kwa kuw 3 months haijapita.
Nilipata dozi upya nimepona