Circumcision-should I do It or...

Mzee, we umeolewa au umeoa? ndo tatizo la kuoa wazungu. ungejiolea watz ungepata raha tu. ila nakupa pole. nijuavyo mimi, kitz hakuna mtu anaetakiwa kukuamulia mambo ya mtoto wako mwenyewe. wakwe zako wanahusika na nini juu ya mtoto wako? wewe ndo mwamuzi wa mwisho, na hakuna mwingine. huyo mtoto lazima atahiriwe, kama hatatahiriwa, atakuwa mchafu kishenzi, hata magonjwa siku hizi yanaambukizwa kirahisi kama mtu ana mkono wa sweta. ukiona wanakuzingua, jifanye hata kama unatembelea tz tu halafu mkate, ukirudi wafanye lolote. pole lakini, samahani kwa kusema kwa lugha ya ukali, usinichukia mkuu.
 

akikua atajua cha kufanya. mimi mwenyewe niliamua kutahiri nilipofikisha miaka 40.
 

mmh! utakuwa ujerumani wewe. au kule wanakoishi wa Armish. mwache mtoto kama alivyo. ataamua yeye baadae.
 
Nenda kamkate mtoto vinginevyo utampa
wakati mgumu atakapokuwa mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…