CISCO Certified?

CISCO Certified?

Dah, mnatukatisha tamaa si tunaotafuta kazi ujue!!!
Sasa ndo tangazo gani hilo?
 
Yaani wewe Pihu na post zako bwana aakhhh unatukata stimu kabisa CISCO ndo nini sasa???
 
Mbona haiko wazi hataka wewe ndo HR officer basi ni balaa..maana haujaleweka?
CISCO,sawa unataka mtu wa CCNA,CCNP or CCIE?
je wa R&SS,voice,security or DATA center?
weka wazi.
 
Duh hiyo nayo kali,computer networking z very wide bwana pihu.kazi zingine hizi.
 
Back
Top Bottom