mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
CISSE NA EVANS WAFUNGIWA KUCHEZA
Chama cha soka cha England FA kimethibitisha kuwa mshambuliaji wa Newcastle Papiss Cisse na beki wa Manchester United Jonny Evans wamepewa adhabu ya kufungiwa kucheza kwa kosa la kutemeana mate. Cisse amefungiwa mechi saba na Evans mechi sita.