tony montana
Senior Member
- Oct 16, 2014
- 142
- 38
Habari za mchana mawakili wasomi na wadau wengine katika fani ya sheria.
Naombeni msaada wa ufafanuzi ni ipi proper citation ya high court kati ya hizi:
(a) in the high court of the united republic of Tanzania au
(b) in the high court of Tanzania
Ninaomba ufafanuzi huo kwa kuzingatia kuwa nimeona preliminary objection nyingi ambazo zimekuwa raised juu ya hizo citation
Nikipata msaada wa authority nitashukuru pia.
Naomba kuwasilisha.