Asante mkuu. Wanabo sana. Walinyang'anya station inayoitwa KBC ambayo ilikuwa nzuri sana kwenye mambo ya spoti. Hawakuwa wanaleta advertisement kibao kama hawa.Me mwenyewe niliona matangazo yao kwenye social networks zao kua wataonyesha, cha ajabu jioni ile walivyoanza kuonyesha kila challenge moja ikiisha wanaweka matangazo
Halafu sasa hayo matangazo yao bora lingekua moja au mawili, wanaweka matangazo zaidi ya matano wanachukua dakika zaidi ya 3 mpk 4
Wakirudi after break unakuta baadhi ya matukio yamepita, yaan wanaboa kwelii
halafu nyie Wakenya kwenye hii michezo nyie ndo giants ilitakiwa kuwe na almost 3 TV stations waonyeshe hii kitu na si Citizen TV pekee
Napenda sana kuangalia these stuffs za athletes kuliko football ( frankly speaking )
Kama wanataka kuenda break basi wasijaribu tena kuhost michezo. Wabaki huko na Telemundo na movie za kiNigeria. Sisi watu tunaopenda kutazama michezo tunataka station ambayo itaonyesha michezo bila kukatakata kila baada ya dakika tatu. Kama hawawezi waachie wenye wanaweza.Eeeh! budaa ni nini mbaya, hii yote ni njaa, unabwabwaja vitu gani, tutawauzia unga, mahindi hampati. Citizen wanafanya biashara wasiende break manake wasilipe bills watajiendeshaje, unawaita bastard kati yako na wao Nani bastard utakula jeuri yako
Pole afadhali ningeandika kwa kiswahili pengine ungenielewa. Tatizo ni kuwa mimi nikipandwa na mori huwa nazungumza kiingereza pekee. Ndio maana unaona nimemwaga kiingereza hapo.Huenda ni njaa imekupanda kichwani nini? Sababu hata sikuelewi unacholalama hapa.
Hueleweki bado, jaribu lugha nyinginePole afadhali ningeandika kwa kiswahili pengine ungenielewa. Tatizo ni kuwa mimi nikipandwa na mori huwa nazungumza kiingereza pekee. Ndio maana unaona nimemwaga kiingereza hapo.
Utaelewaje wakati Kiingereza kimekupiga chenga?Huenda ni njaa imekupanda kichwani nini? Sababu hata sikuelewi unacholalama hapa.
Hueleweki bado, jaribu lugha nyingine
Aisee, sasa tatizo lipo kwa mleta mada kwasababu hujaelewa? Huoni kwamba hayakuhusu? Naona huwa mnasahau kwamba hili jukwaa ni la habari na siasa za Kenya. Huu uzi ni kwa wanaspoti, wewe jamaa wa ngololoo kaa pembeni, tafadhali.Huenda ni njaa imekupanda kichwani nini? Sababu hata sikuelewi unacholalama hapa.
Yaani kwa hivyo tununue subscription ya Dstv ili tutazame michezo inayochezwa kwa wiki mbili tu? Mbona tulipe ilhali hatukuwa tunalipa ilipokuwa KBC?Yaani waache kupiga hela wasikilize makelele yenu!!!
Si kuna channels za dstv pia mnaweza kutazama huko msitake kuharibu biashara za watu
Hii Citizen ili ni shinda kuangalia wana matangazo mengi sana ata uki angalia nipashe ya saa moja jioni wana fanya kudukua dukua habari wana masinema mengi ya Kinageria bora KBCKama wanataka kuenda break basi wasijaribu tena kuhost michezo. Wabaki huko na Telemundo na movie za kiNigeria. Sisi watu tunaopenda kutazama michezo tunataka station ambayo itaonyesha michezo bila kukatakata kila baada ya dakika tatu. Kama hawawezi waachie wenye wanaweza.
Si utumie DStv maximo 2 na athletic champions wanaleta live.Asante mkuu. Wanabo sana. Walinyang'anya station inayoitwa KBC ambayo ilikuwa nzuri sana kwenye mambo ya spoti. Hawakuwa wanaleta advertisement kibao kama hawa.