Ngongele Msanga
Member
- Sep 17, 2016
- 53
- 45
Hivi ninyi wakenya kwani ombaomba wote hapo Nairobi au miji mingine ni kutoka Tz pekee. ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YesHivi ninyi wakenya kwani ombaomba wote hapo Nairobi au miji mingine ni kutoka Tz pekee. ?
Ni kweli, karibia wote! Wale ambao ni wakenya kati yao utawajua tu hawana lugha ya kuomba, utaskia wewe! Leta mbao! Hehe. 😀 Ate waat!Hivi ninyi wakenya kwani ombaomba wote hapo Nairobi au miji mingine ni kutoka Tz pekee. ?
Na wa Turkana wanakula mbwa?Ni kweli, karibia wote! Wale ambao ni wakenya kati yao utawajua tu hawana lugha ya kuomba, utaskia wewe! Leta mbao! Hehe. 😀 Ate waat!