Citizen TV wako mubashara na mchakato wa kuwahoji wateule wa rais ktk nafasi za Uwaziri wa serikali ya Kenya

Citizen TV wako mubashara na mchakato wa kuwahoji wateule wa rais ktk nafasi za Uwaziri wa serikali ya Kenya

Itoye

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2017
Posts
531
Reaction score
1,023
Salaam Wakuu.
Naamini mko salama.

Citizen Tv Kenya wako mubashara na mchakato wa kuwahoji wateule wa rais ktk nafasi za uwaziri wa serikali ya kenya.

I wish na nchi yetu ingefika huku ili mtu akipita na kushika public office awe amechekechwa haswa, na aonyeshe uwezo wake na uelewa wake wa mambo na sisi wananchi tuone.
 
good.
ikifanyika hapa nadhani tutapunguza habari za nepotism, na favor zisizo na faida kwa taifa
 
Mkuu,
Kama ndani ya vyama tu wanapigana hadi marungu (rejea ccm pale Dodoma aliyemtwanga mwenzie wa chama kimoja ) unadhania huko kwenye uwaziri kufanyiwa interview tutafika!?

Sisi hizi democracy na vyama vingi tumelazimishwa sana hatuwezi.
 
Salaam Wakuu.
Naamini mko salama.

Citizen Tv Kenya wako mubashara na mchakato wa kuwahoji wateule wa rais ktk nafasi za uwaziri wa serikali ya kenya.

I wish na nchi yetu ingefika huku ili mtu akipita na kushika public office awe amechekechwa haswa, na aonyeshe uwezo wake na uelewa wake wa mambo na sisi wananchi tuone.
Inshallah tutafika ingawa nchi hii watu wajinga ni wengi mnoooo na ndo mtaji wa wanasiasa na ndo mojawapo ya kikwazo cha maendeleo
 
Salaam Wakuu.
Naamini mko salama.

Citizen Tv Kenya wako mubashara na mchakato wa kuwahoji wateule wa rais ktk nafasi za uwaziri wa serikali ya kenya.

I wish na nchi yetu ingefika huku ili mtu akipita na kushika public office awe amechekechwa haswa, na aonyeshe uwezo wake na uelewa wake wa mambo na sisi wananchi tuone.
Kabisaaa mana kuna wengine inatushangaza Kwa vigezo vipi waliteuliwa, yaaani inaonekana wazi hawako oriented na majukumu yanayowakabiri
 
Ila Tobiko kaua, jamaa ametumia karibia lisaa lizima kueleza historia ya C.V yake. Dah, kila sehemu ilikuwa 'I was the top student Nationwide' na 'I was the top student in my class'. Yaani wabunge walivokuwa wanamtazama! Classic!
 
Zoezi la vetting linalofanyika hivi sasa kwa CSs aliowapendekeza UK ni jambo muhimu sana kama unataka kupata utawala bora na ufanisi wa kweli..

Tanzania Mawaziri wanachaguliwa ovyo ovyo tu ili mradi Mkuu wa Nchi anavyojisikia..

Mpaka mahawara wapo kwenye cabinet..

Shame.
 
Ila Tobiko kaua, jamaa ametumia karibia lisaa lizima kueleza historia ya C.V yake. Dah, kila sehemu ilikuwa 'I was the top student Nationwide' na 'I was the top student in my class'. Yaani wabunge walivokuwa wanamtazama! Classic!

hao akina I was a best student wabakie chuo kufundisha watoto. huku kwenye utawala hawawezi.
 
hao akina I was a best student wabakie chuo kufundisha watoto. huku kwenye utawala hawawezi.
Unamjua Keriako Tobiko? The man has had a very successful stint as Kenya's DPP, until recently, when he was nominated for the cabinet secretary position in the Environment ministry. This guy is respected and he has been very impartial, withdrawing cases that seemed to defeat justice before they reached the courts. He also initiated proceedings in many cases just by request of common mwananchi where injustices seemed to have occured. Although he has had a few mishaps here and there, you have to give it to him that he actually did his job. Plus he was no ones puppet.
 
Back
Top Bottom