Inshallah tutafika ingawa nchi hii watu wajinga ni wengi mnoooo na ndo mtaji wa wanasiasa na ndo mojawapo ya kikwazo cha maendeleoSalaam Wakuu.
Naamini mko salama.
Citizen Tv Kenya wako mubashara na mchakato wa kuwahoji wateule wa rais ktk nafasi za uwaziri wa serikali ya kenya.
I wish na nchi yetu ingefika huku ili mtu akipita na kushika public office awe amechekechwa haswa, na aonyeshe uwezo wake na uelewa wake wa mambo na sisi wananchi tuone.
Kabisaaa mana kuna wengine inatushangaza Kwa vigezo vipi waliteuliwa, yaaani inaonekana wazi hawako oriented na majukumu yanayowakabiriSalaam Wakuu.
Naamini mko salama.
Citizen Tv Kenya wako mubashara na mchakato wa kuwahoji wateule wa rais ktk nafasi za uwaziri wa serikali ya kenya.
I wish na nchi yetu ingefika huku ili mtu akipita na kushika public office awe amechekechwa haswa, na aonyeshe uwezo wake na uelewa wake wa mambo na sisi wananchi tuone.
Ila Tobiko kaua, jamaa ametumia karibia lisaa lizima kueleza historia ya C.V yake. Dah, kila sehemu ilikuwa 'I was the top student Nationwide' na 'I was the top student in my class'. Yaani wabunge walivokuwa wanamtazama! Classic!
Unamjua Keriako Tobiko? The man has had a very successful stint as Kenya's DPP, until recently, when he was nominated for the cabinet secretary position in the Environment ministry. This guy is respected and he has been very impartial, withdrawing cases that seemed to defeat justice before they reached the courts. He also initiated proceedings in many cases just by request of common mwananchi where injustices seemed to have occured. Although he has had a few mishaps here and there, you have to give it to him that he actually did his job. Plus he was no ones puppet.hao akina I was a best student wabakie chuo kufundisha watoto. huku kwenye utawala hawawezi.