mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Ni kina nani hao?Wafungwa wa kisiasa wapo wengi achilia mbali waliobambikiwa kesi za uhujumu uchumi. Tunaomba Mh. Rais mchakato uharakishwe.
Nitajie mfungwa kisiasa unaemjua na ameachiwa?Magu alifilisha nchi kubaya sana
Mdude kakutwa na unga ndani kesi yake sio ya kisiasa.Mdude, na wengine wengi waliopewa kesi za uhujumu uchumi na madawa ya kulevya.
Yule mzee alistahili kufanywa kuni jehanamu.
Unajua political prisoner ni nani?Mwingine walimtoa rumande akaenda kuapishwa sasa ni Mbunge anapiga kelele mbayaaaaaaa kabisa kule mjengoni kama sio yeye yani
Wewe huwajui, au upo ofisi inayohusika na mashtakaNitajie mfungwa kisiasa unaemjua na ameachiwa?
Wewe unaewajua wataje na utuambie wameachiwa lini?Wewe huwajui, au upon ofisi inayohusika na mashtaka
Wewe umekataa hawapo.Wewe unaewajua wataje na utuambie wameachiwa lini?
Kwani kwa akili zako unadhani wafungwa wa kisiasa files zao zinasoma kuwa wameshitakiwa kisiasa?Mdude kakutwa na unga ndani kesi yake sio ya kisiasa.
Lakini je Mdude kaachiwa?
Kabisa mkuu. Wewe emagine watu wako mahabusu kwa miaka 5 eti upelelezi wa makosa yao ya uhujumu uchumi unaendelea.Magu alifilisha nchi kubaya sana
Wakina mdude nyagali hao na wenzake naona kesi zao zinapelekwa fasta fastaNi kina nani hao?
Kwa hiyo Mdude kaachiwa?Kwani kwa akili zako unadhani wafungwa wa kisiasa files zao zinasoma kuwa wameshitakiwa kisiasa?
Unapewa kesi yoyote ile wanachofanya ni kukulia timing wakukamatie wapi.
Unaweza pewa kesi ya ulawiti, ubakaji n.k ila nyuma kuna political influence.
Wafungwa wa kisiasa wapo wengi achilia mbali waliobambikiwa kesi za uhujumu uchumi .Tunaomba Mh.Rais mchakato uharakishwe.
Ule unga aliwekewa na UVCCM tawi la Mbeya mjini. Kesi ndio inaendelea kusikilizwa ataachiwa.Mdude kakutwa na unga ndani kesi yake sio ya kisiasa.
Lakini je Mdude kaachiwa?