Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Zamani ilikuwa $50,000 wakapandisha $300,000 sasa hivi washafika huko kumbe.America utakapokuwa na dollars 800,000/- uraia kwako ni wa moja kwa moja hakuna mjadala,
Wayahudi wengi wanataka kuja na wangependelea kilimo mkuuNdugu hamna mtu anataka uraia wa nchi kama Tanzania, ila wazee wa dili yaani vigogo wa watakatisha pesa au wauza unga.