City Battle: Mombasa vs Dar es Salaam

NGOs walikua wanatumia 2 million estimates iliwapate pesa mingi but fact ndio hii
Uwongo tena aliyeiedit ni huyu Muchiri eti kaweka citation ya article ya gazeti hivi unaweza kupinga a scientific statistical report kwa kijiparagraph with some empty silly words???
 
I wonder if you have ever visited Dar es Salaam City . This is clearly revealed by one of the point you outlined above there concerning Towns Suburbs surely it is pretty deceit
 
kibera 170k hahahaha unastahili unywe maji upumzike😀😀😀😀😀😀
leta ile mwanza yako uliyokua unaifananisha na msa...siulikimbia na kinyesi makalioni ulipojishindia aibu ya mwaka..achana na mombasa huiezi wewe
 
leta ile mwanza yako uliyokua unaifananisha na msa...siulikimbia na kinyesi makalioni ulipojishindia aibu ya mwaka..achana na mombasa huiezi wewe
😀😀😀😀😀😀 umerudi enhhh ulikimbia wapi sasa..........
alaf shkuru MUNGU nimefunga ningeamsha popo sasa hvi
 
Kibera has 170000 people hizo number zako labda umetoa kwa haga yako
Kibera zaidi ya million 1 mathare 180k korogocho 100k weka slums zingine no wonder 60%mnaishi matopeni ,iyo 40% iliobaki kuna offices spaces viwanda nk manake zile dormitory zaweza chukua asilimia 20 hivi ya jiji zima
 
Desperation ya nini?..why all this inferiority complex??? Kwani unacatch feelings kidem aje kibera has 170000 people iyo ni 2009 census...and slums occupies only 6%.ata national park ni kubwa kushinda
 
Umekosea kaka nakupa slum 3 tu weka mbali kibera na zingine😀😀😀😀
Hizo tatu zina 1.4 million
 
Kibera Facts & Information
There are approximatly 2.5 million slum dwellers in about 200 settlements in Nairobi representing 60% of the Nairobi population and occupying just 6% of the land. Kibera houses about 250,000 of these people. Kibera is the biggest slum in Africa and one of the biggest in the world.
 
Desperation ya nini?..why all this inferiority complex??? Kwani unacatch feelings kidem aje kibera has 170000 people iyo ni 2009 census...and slums occupies only 6%.ata national park ni kubwa kushinda
Mbona unaongea kitu hukijui?kwahyo aliandika izo notes hakua mkweli au ni chuki juu ya green city in the sun....izo slums zenu ndio zinawakaazi wengi wa apo matopeni city usijeukajifanya unajua
Umekosea kaka nakupa slum 3 tu weka mbali kibera na zingine😀😀😀😀
Hizo tatu zina 1.4 million
View attachment 528171 View attachment 528172 View attachment 528173
 
Mmeishindwa dar kwa Nairobi mnatuletea hicho kijiji cha pwani msituchefua

Wabongo natoa rai tusiweke picha wala kukompea chochote na hicho kiji mji .
Nani kakuambia tumeshindwa?? Vile wenzako wanatoa povu huko....tumewahurumia kuwaletea Mombasa na sidhani itakua rahisi
 
Mombasa sultan suburbs you'll not find this in darslum
Mombasa town
More suburbs
Upcoming giant in Mombasa utadhani dubai
English point marina(one of best in Africa)
Health mombasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…