Soma civil engineering......
Ukitaka mbwembwe za majina soma hyo nyingine
kwa mara nyngne wadau!najua hiz koz zot ni nzur lkn vitu huzidiana!so nahitaj ushaur kabla ya maamuz,ip n nzur zaid(interms of every thing)ushauri wakubwa.
kwa mara nyngne wadau!najua hiz koz zot ni nzur lkn vitu huzidiana!so nahitaj ushaur kabla ya maamuz,ip n nzur zaid(interms of every thing)ushauri wakubwa.
.
Toa fact !
Sio unatema blah blah ! Tu
Wewe mleta mada hicho Kiingereza cha "Equipments" umekitoa wapi? Kwenye kiingereza hakuna kitu kinaitwa hivyo. Ukipenda fanya consultation na mwalimu wako wa hiyo lugha.
Tiba
msipende kuleta utaalamu wenu katika lugha kama umeelewa basi toa maoni na kama hujaelewa unaachana nay
Mbona unatoka povu kijana...
Hiyo course bio nini sijui inakufanya uwe mtumwa wa ajira...
Kama bado upo darasani huwezi nielewe njoo mtaani ndio utaelewa dogo...
SAUWAA
haya mtoto mzuri....
Civil mmejazana kibao watu na madegree yao!
na siku hizi kila mtu anataka civil, walio na maono ya mbele wataelewa!
Na uhitaji wa biomedical engeneers ni mkubwa! Hilo huwezi kubisha!
Ila siyo wewe unae isifia with nonsense facts!
duh we dogo kwa kuulizia mishahara!!!Ip kwn ina mshahar mkubw