Wakuu mimi nilikua na swali moja, UDSM sasa hivi wanatoa Bsc in civil eng badala ya structure, water na transport. Swali langu ni ukisoma mwishoni ndio utachagua moja au mtu ukisomea civil unaweza kufanya kazi zote yani za structure,water na transport?