Andaa CV yako vizuri, peleka kampuni zote unazozijua. au tuma barua au email. CHANGAMKA. ndio mara yangu ya kwanza kusikia Civil Eng. analalamika ajira kwa kipindi kirefu. Toa nuksi hizo.
Andaa CV yako vizuri, peleka kampuni zote unazozijua. au tuma barua au email. CHANGAMKA. ndio mara yangu ya kwanza kusikia Civil Eng. analalamika ajira kwa kipindi kirefu. Toa nuksi hizo.
Mbimbinho,
Check PM na fanyia kazi!
Nakutakia mafanikio
Make sure cv zinawafikia wahusika, sa zingine cv huwa zinaishia kwa ma-secretary. Komaa kazi zipo.
Jaribu kwa njia zote aidha kwenda physically kukutana na owners wa makampuni,pili njia ya internet kama ulivyosema yamkini unatuma maombi na cv yako vinakwenda but havina influence,may be mpangilio may b self expression haiko poa.vzr kujiuliza waliopata wamefanyaje as umefanya,pia tuma hard copies may be hzo soft copy zinaliwa na viruses you never know.Pia mshirikishe mungu ktk mipango yako atakusaidia,usiamini ktk uwezo wako pekee.endelea kujaribu mimi naamini upo karibu kupata kazi na mwaka huu hautokwisha.God bless you!

Inabidi uwe makini sana na matangazo yanayotolewa kwenye mitandao wakikutaka utume CV zako na wakati mwingine utume vyeti vyako.
Kwakua nipo kwenye hii fani ya Ujenzi kwa muda mrefu kidogo,nimegundua watu wengi wana kampuni za ujenzi na hawana ma-Engineer,wanachofanya ni kutangaza kuwa wanahitaji Engineers na wanatumia Vyeti na CV zako kuombea tenda.
Mimi imenitokea mara mbili na kwa bahati nzuri wale waliokuwa kwenye evaluation team waliona CV yangu na jamaa mmoja alikua ananifahamu akanipigia simu kuniuliza.Nilipofuatilia kwenye hiyo kampuni kwa njia ya siri nikagundua wamenitengenezea CV na wanaonyesha mimi ni mfanyakazi wao kwa miezi minne sasa(kwa wakati huo).
Kwa maana hiyo ndugu yangu,kuwa makini na unapopeleka CV zako.Kuna watu ni wasanii sana hapa nchini.
Otherwise i am wishing you all the best.
Kazi za wahandisi wa ujenzi ni nyingi sana kwani mpaka sasa hatutoshi,tatizo watu wanasita kuajiri kwa kuogopa kulipa mshahara mkubwa.