Civil engineer required urgently

Civil engineer required urgently

Grader

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
445
Reaction score
64
Anahitajika civil engieer awe na sifa zifuatazo;
1.Awe na miaka kati ya 25-40.
2.Mtanzania.
3.Any field kati ya Transportation,Structural au Water resources.
4.Aliyesajiriwa na ERB is adventegeous.
5.Atakayekubali kufanya kazi popote hapa TZ.
6.Wanawake watapewa kipaombele.
7.Uzoefu ni muhimu katika nyanja ya design ,management au construction industry.
8. Anayejua kuongea kiingereza na kiswahili vizuri.
9.Computer literature hasa software ni muhimu
10.Salary ni negeotiable pamoja na fringe benefit nyingine.
kwa mawasiliano zaidi.
+255783833255/755113524/652370498.
 
Back
Top Bottom