Civil engineering only kwa Wale waliochaguliwa DIT only

furaha2008

Member
Joined
May 31, 2012
Posts
24
Reaction score
0
Wadau kwa yeyote aliye na swali kuhusiana na chuo iki aulize mapema kwani wa2 weng mkifika pale watawatisha sana hasa kuhusiana na lecture 1 anaitwa Daudi singo
 
Wadau kwa yeyote aliye na swali kuhusiana na chuo iki aulize mapema kwani wa2 weng mkifika pale watawatisha sana hasa kuhusiana na lecture 1 anaitwa Daudi singo

vp mkuu kwani kuna mizinguo yoyote mwana
 
Wadau kwa yeyote aliye na swali kuhusiana na chuo iki aulize mapema kwani wa2 weng mkifika pale watawatisha sana hasa kuhusiana na lecture 1 anaitwa Daudi singo
Acha uoga,singo wa kawaida,we kama hujui SOIL useme usaidiwe.hata hiyo foundation eng utasaidiwa usitishe watu kwa ukilaza wako
 
vipi mpango wa hostel inakuwaje? nimekuwa addmited comp. engneering
chuo kitafunguliwa lini?
 
Kiukweli singo anazingua tena sana mana ukiwa first year atawazingua sana first notice hatoi na anafundisha haeleweki kabisa na bt ukijiandaa kupiga msuli wako private kama mtoto wa kata dit hapasumbui bt ukiwa wa kishua mhh!!!!! 2taona mbele ya safari. Kuhusu hostel zipo pale dit japo hazitoshi na changombe kwa first yea bt ukiwa udwanzi kukaa na watoto wa dip unaingia zako kitaa hasa upanga, kariakoo na pocta wish mmenipata fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…