Civil engineering

Civil engineering

laut

Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
28
Reaction score
4
Habari zenu wana JF.Naomba kujuzwa, hivi mtu akisoma Bachelor of civil engineering anaweza kuajiriwa katika kazi zipi?
 
Unasomaje course ambayo hujui wapi unatakiwa ukafanye kazi...this is crazy
 
Utafanya kazi zifuatazo
.1. building work
2.civil works-road,tank, highways
3.mining sector-constructin structure
4.gas mtwara-pipes aline/industries
5.tendering+contract+managements
6.consultancy+contractor
7.nk.
 
Ni sawa na kutoka nje halafu unatafuta mahali pa kwenda!

Civil is the mother of all engineering course


Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Ukiwa mzembe lazima udisko, unless uwe unasoma zoom college. Wanaanzaga 500 wanamaliza 100
 
Back
Top Bottom