laut Member Joined Feb 6, 2013 Posts 28 Reaction score 4 Jun 14, 2013 #1 Habari zenu wana JF.Naomba kujuzwa, hivi mtu akisoma Bachelor of civil engineering anaweza kuajiriwa katika kazi zipi?
Habari zenu wana JF.Naomba kujuzwa, hivi mtu akisoma Bachelor of civil engineering anaweza kuajiriwa katika kazi zipi?
Z zege ngumu Member Joined May 18, 2013 Posts 41 Reaction score 5 Jun 15, 2013 #2 laut said: Habari zenu wana JF.Naomba kujuzwa, hivi mtu akisoma Bachelor of civil engineering anaweza kuajiriwa katika kazi zipi? Click to expand... bila civil Ni sawasawa na gari bila gear box
laut said: Habari zenu wana JF.Naomba kujuzwa, hivi mtu akisoma Bachelor of civil engineering anaweza kuajiriwa katika kazi zipi? Click to expand... bila civil Ni sawasawa na gari bila gear box
L lazima ukae JF-Expert Member Joined May 15, 2013 Posts 791 Reaction score 414 Jun 15, 2013 #3 Unasomaje course ambayo hujui wapi unatakiwa ukafanye kazi...this is crazy
faabroz JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 286 Reaction score 69 Jun 15, 2013 #4 Utafanya kazi zifuatazo .1. building work 2.civil works-road,tank, highways 3.mining sector-constructin structure 4.gas mtwara-pipes aline/industries 5.tendering+contract+managements 6.consultancy+contractor 7.nk.
Utafanya kazi zifuatazo .1. building work 2.civil works-road,tank, highways 3.mining sector-constructin structure 4.gas mtwara-pipes aline/industries 5.tendering+contract+managements 6.consultancy+contractor 7.nk.
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,374 Reaction score 6,857 Jun 15, 2013 #5 Du ukifanya civil hutajuta maishani.
raj dull ah Member Joined Mar 29, 2013 Posts 31 Reaction score 6 Jun 15, 2013 #6 Ni sawa na kutoka nje halafu unatafuta mahali pa kwenda! Civil is the mother of all engineering course Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Ni sawa na kutoka nje halafu unatafuta mahali pa kwenda! Civil is the mother of all engineering course Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
C Chizu Cka Member Joined May 28, 2013 Posts 28 Reaction score 4 Jun 15, 2013 #7 Civil engineer holds a life, ni course ngumu bt muhimu bila kikomo
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 Jun 15, 2013 #8 Ukiwa mzembe lazima udisko, unless uwe unasoma zoom college. Wanaanzaga 500 wanamaliza 100
T Thema JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 301 Reaction score 64 Jun 15, 2013 #9 Bulldog said: Ukiwa mzembe lazima udisko, unless uwe unasoma zoom college. Wanaanzaga 500 wanamaliza 100 Click to expand... Hapo ndo patamu!
Bulldog said: Ukiwa mzembe lazima udisko, unless uwe unasoma zoom college. Wanaanzaga 500 wanamaliza 100 Click to expand... Hapo ndo patamu!