Civil engineering

laut

Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
28
Reaction score
4
1. Wana JF hivi ukichagua Bachelor in Civil Engineering DIT unaweza kupata Mkopo asilimia 100?
2. Katika Civil Engineering specialisation gani ni nzuri.
 
Angalia TCU kwenye kitabu cha priorities but Civil huwa wanatoa mkopo full. Specialization chukua Transportation au Water resources.
1. Wana JF hivi ukichagua Bachelor in Civil Engineering DIT unaweza kupata Mkopo asilimia 100?
2. Katika Civil Engineering specialisation gani ni nzuri.
 
huna point dogo. ila nikusaidie tu, unaweza kupata kama una bahati, mana sku hizi engineering student sio wote wanapata 100%. UDSM navojua kwa sasa hakuna specialization kama hapo awali, la kama dit zipo transportation au structural ni nzuri ukilinganisha na water resource engineering
 
Specilization si inakuaga mwaka wa tatu!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…