civil engineering

civil engineering

sgl94

Member
Joined
Jun 9, 2012
Posts
12
Reaction score
0
msaada wakubwa mzee wangu anadai eti civil engineering haina soko na upatikanaji wake wa ajira ni utata ya kweli haya wadau
 
msaada wakubwa mzee wangu anadai eti civil engineering haina soko na upatikanaji wake wa ajira ni utata ya kweli haya wadau

katika ulimwengu wa sasa Civil Engineering ndiyo mpango mzima, somo lingine ni Electrical Engineering . haya huwezi kukosa kazi kabisa , Kampuni ni nyingi sana . nakushauri ukasome hayo masomo
 
Nina wasi wasi na aliyekwambia hivo huenda ana lake jambo.Civil ndo yenyewe ndugu yangu.Imegawanyika ktk branches nyingi na ndo dili toka zamani,leo na hata mwisho wa dunia labda wanadamu waache ujenzi na kuishi kijima.Hebu fikiria,watu wa civil wanahusika ktk wizara nyeti kama zifuatazo;Wizara ya ujenzi,wizara ya uchukuzi,wizara ya maji na nyinginezo nyingi.Kwa hali hiyo ni ajabu kusema eti civil haina soko.
 
kama we kilaza na hujui kaz ni ishu kupata ajira but ka unajua vi2 n uko bright civil ni ki2 kingine ndugu
 
msaada wakubwa mzee wangu anadai eti civil engineering haina soko na upatikanaji wake wa ajira ni utata ya kweli haya wadau

mzee wako ndo nani? HAKUNA FANI YA ENGINEERING ISIYOLIPA.SIO JANA LEO WALA MILELE.period
na sio mpaka ulipwe na watu unaweza kujiajili na kujilipa mwenyewe.
elimika kijana.achana na hii mambo ya kozi gan inalipa ipi hailipi.sikiliza moyo wako.fanya kitu unachokipenda na kwa hicho hicho na kitakachokutoa maishani.weka nguvu mwili na roho hapo na kamwe hutaregret.

AIM FOR PERFECTION IN WHATEVER YOUR PURSUING

TRUST ME HARD WORK PAYS

naongea hivi kwa kuwa mimi nimesoma engineering na nafanya engineering.na nafurahia matunda ya juhudi nilizoweka nikiwa chuo.(usiulize engineering ipi).any course entitled 'engineering' inalipa.ifanye vizur na kwa kuipenda mwisho wa siku trust me utafurahia matunda ya juhudi zako
 
msaada wakubwa mzee wangu anadai eti civil engineering haina soko na upatikanaji wake wa ajira ni utata ya kweli haya wadau

Kwanza baba anafanya kazi gani? Asikudanganye mtu hiyo ndiyo fani yenye ajira kila kona ya nchi! Na vile vile ni rahisi kujiajiri!
 
Civil engineering is the father of all engineering!! Je huyo aliyekwambia civil haina soko yeye ni ngwini au injinia!?? Kama sio injinia chukua file lake tupa kwenye dustbin manispaa walibebe!!!
Engineering together with maths for ever for more...
 
Back
Top Bottom