Civil engineering

Mpucha

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
1,232
Reaction score
1,592
Wadau, katika kupitia brochure ya TCU, nimeona kuna vyuo vinatoa course ya Bachelor of science in civil engineering na vingine vinatoa Bachelor in civil engineering, na Bachelor of engineering in Civil engineering, tafadhali naomba mwenye uelewa wa tofauti hizi anijuze, ahsanteni sana.
 
Ngoja wajuzi waje watujuze hapa
 
Bachelor of science in civil engineering Bsc. In CE inaweza tofautishwa na bachelor in CE kwenye content wise. Bsc in CE inadeal sana na reasoning on how and why a certain engineering work (procedure) is done. Na pia unafunzwa jinsi ya kufanya. Bachelor in CE yenyewe inatoa mwongozo on how to do engineering works mara nyingi scientific arguments hapa haziwezi jibiwa in relation to engineering
 
bachelor of science in civil engeenering hutoa watendaji (technician) wakati bachelor in civil engeenering hutoa designers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…