MBUNIFUmdogo
Member
- Oct 15, 2015
- 40
- 9
Assignments zinatakiwa kufanywa na mwanafunzi yeye mwenyewe..B is a resident of kwetu district in the internet region. He got married to D in 2010.In may 2014 D brought divorce proceedings in kwao district in computer region. The district court dismissed the proceedings holding that there was no proof that the marriage had irreparably broken down. In November 2016, B petitioned for divorce in kwetu district court. The kwetu district court dismissed the proceedings for lack of jurisdiction including limitation of time. B appealed to the High court. Discuss the likelihood of B succeeding in the High Court.
Tatizo lako ni kwamba unaona kila kitu kinachoandikwa kuhusu shuleni ni assignment. Ni swali nililopata kwenye past papers. Kwa hiyo, Kama huwezi kujibu acha.Assignments zinatakiwa kufanywa na mwanafunzi yeye mwenyewe..
Ili kujua ndondooo za awali kule HCT ni vyema tujue hyo kesi iliyofunguliwa Nov. 2016 je ilitupiliwa mbali tarehe ngap mwezi gani na mwaka gani??? "For the purpose of computation of time of the present appeal" km hyo rufaa ipo ndan ya mda ama laa. Halaf ndo tuangalie hyo appeal on merits.B is a resident of kwetu district in the internet region. He got married to D in 2010.In may 2014 D brought divorce proceedings in kwao district in computer region. The district court dismissed the proceedings holding that there was no proof that the marriage had irreparably broken down. In November 2016, B petitioned for divorce in kwetu district court. The kwetu district court dismissed the proceedings for lack of jurisdiction including limitation of time. B appealed to the High court. Discuss the likelihood of B succeeding in the High Court.
Sasa unachobisha hapo ni nini? Past paper maana yake si masuala ya shule hayo? Hiyo ni sehemu unayotakiwa kuijaza mwenyewe maana ndicho kipimo chako kwa shule yako, huku unatakiwa uje na ishu za uhalisia na sio assumptions ambazo zinakuwa na ma-discrepancy kibao..Tatizo lako ni kwamba unaona kila kitu kinachoandikwa kuhusu shuleni ni assignment. Ni swali nililopata kwenye past papers. Kwa hiyo, Kama huwezi kujibu acha.
Can we term it as res judicata?Ili kujua ndondooo za awali kule HCT ni vyema tujue hyo kesi iliyofunguliwa Nov. 2016 je ilitupiliwa mbali tarehe ngap mwezi gani na mwaka gani??? "For the purpose of computation of time of the present appeal" km hyo rufaa ipo ndan ya mda ama laa. Halaf ndo tuangalie hyo appeal on merits.
"The issue of whether the present appeal is time barred or not can be raised SUO MOTO"
Kesi hutegemea na USHAHIDI uliopo. Je mazingra na mahusiano walikuwa yamefikia kiwango gani??? Issue ya cert. of reconciliation ni kwa mjibu wa sheria No. 5/1971 lakn ina EXCEPTIONS kilingana na kiwango cha mahusiano yalipofikia.
BIG hapana. (res judicate hadi iwe imesikizwa ON MERITS na competent court).Can we term it as res judicata?