kwani ni ipi unaipenda kati ya hizo....afu ni vyema ukawa na malengo ya kujiajiri,naiman itasaidia pia....zote ziko poa ila civil inaweza kuwa poa zaid maana ni simple kujiajiri....
Hakuna engineering course mbaya....labda ni mtazamo wangu tu. Tunachokosa ni nia ya kukomaa ili tuweze kutengeneza pesa. Mining, au Civil au Chemical mtu yoyote akiamua anapiga bingo. Ingawa ukiniuliza mimi, Civil naifagilia sana.