jaman habarini za mchana huu.kuna maajabu sana hapa mjini yaan kila kukicha watu wanatunga sera za utapeli tu ama ni nn? Leo nmeamka natumiwa sms kutoka katika kampuni ambayo siifaham wanadai eti maombi yangu wameyafikilia vizuri niende nkafanye kaz ktk muda wangu wa ziada.muda wa ziada kiaje? Hapa ndipo ninapoona kuna kamwanya ka utapeli.cjawahi kuapply hii kampuni halafu wanadai wako sinza.mmh....

aaaagh! walinipigia simu mara 2 nkawaambia nina kazi ya ziada ya kulea mtoto wangu baada ya mda wa kazi za kutajirisha mafisadi.
Wala usipoteze muda kwenda,hizo ni kampuni za madawa haya ya aloe vera,GNLD,TIENS, Oriflame!...wana tabia ya kutuma msg, sometime wanakwambia uende kwenye interview then ukienda unakuta ni mkutano wa wanachama na wanaanza kukushawishi uungane nao kusambaza madawa.
...Ila kama unataka nenda,huu ndo ukweli (speaking from experience)