cjaomba kaz kwao wananiita nkafanye kaz.


hahhaaha hawa majama nawafahamu wako sinza mori nadhani wanatuma maga ma msg kibao kwa watu nia namadhumini ni kupata followers wengi ili kupata ulaji zaidi kwenye hii kitu inayo itwa biashara ya mtandao ime fanan na forever living ,sema hawa wa sinza wanuza bidha za GNLD wanaku convince ukijiunga n wao kwa ada ya 50,000tsh unaweza uka tafuta followers wengi jinsi unavyo wapata ndio unazidi kulipwa hela nyingi bila kufanya chochote kazi yako ni followers au ku uza madawa ya GNLD
 

mimi mwenyewe walishanitumia sms kama hiyo wanadai wapo Sinza nkawapotezea.
 
Walishanitokea hapo nikataka kuwapelekea kipira wakasepa, mpaka majina wanayotumia kusajili namba zao za simu nayafahamu. Hapa wangeingia choo cha kike hapa!
 
Mkuu hata mimi walishanitumia msg na wala sijawahi kuomba kazi kwao wapo sinza hawa wauni.Mmoja nilimpigia simu akajitambulisha kwa jina la dada jeni tupo msg kapuni
 

Matapeli hao ukiingia king wanakupeleka pale Sinza mori Big born
 
Dah umenitonesha kidonda mkuu..nakumbuka walivyonitia cost week 2 zilizopita yaani walinitoa mbali toka moro mpaka dar halafu vocha ili uwapigie wakuelekeze nakumbuka dat day town kulikua na mvua ikabidi ninunue tena mwamvuli pale ubungo aah baadae nikakutana na mautumbo ile laana mdau frankly speaking hao jamaa ni wa gnld tena utakuta kwenye sms wameandika kutoka kwa senior manager...
 

Acha uwoga! Hilo ni zali la mentariiiiiiiiii.

 

Hao watakuwa watu wa GNLD tu.
Kuna kipindi fulani walinisumbua sana wakati bado nahangaika kutafuta kazi.
Utaambia kazi yenyewe ni "network marketing". Kama upo interested nayo, nenda ila ndio hivyo ujiandae.
 
Hyo kampuni wameshawahi kunipigia cm wakanambia niende ofisini kwao walinambia sinza pale nyuma ya big bon nilivyofika nikawa nnajaribu kuwauliza wanaofanya kazi pale mna deal na nini cha ajabu wote hakuna aliyenijibu wanakimbia kimbia tu nikaona hii kazi gani imekua siri kiasi hiki nikaondoka hla kuna mdada nilimkuta pale naye alipgiwa cm nikachukua namba yake jioni nnampgia ananiambia bora ulivyoondoka maana wameambiwa watoe hela halafu hela yao itarudi watakapoleta watu wengine ndo unaacha no ya cm ya watu(10) unaowajua wao wanampigia
 

hahahaha.kaka pole sana kweli ulifanywa vibaya.
 
kaka yaser hao jamaa is like wale watu wa gnld,hata mimi walintumia msg but nlpowahoji vzuri walniambia wamepatiwa namba yangu na one of my friend ,kazi waliyoniambia eti uwe na network ya kuuza bidhaa zao
 
Hoa jamaa wanaboa coz wanomba namba kwa watu kisha wantuma hizo sms zao.
Mimi wamenisumbua baada ya kujua ni mtu wa masoko wakadai sasa wao ni suluhisho kwanu ile nafika nikajua niko peke yangu mmh kumbe nyomi wakanipi network marketing yao.
Nikawaacha nikasepa wako sinza.
 
Kusingekuwa na kundi kubwa la unemployed youth yote haya yasingekuwepo
 
hahaha , hao watakuwa GNLD hata mimi walishwahi nitumia msg nikajua zali , nikaenda nikakuta mkutano wa wanachama wapya wanashawishiwa wajiunge na mtandao wapate pesa fasta-fasta!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…