Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
DuuuhhhWaziri wa Michezo wa Nchi ya Cameroon Profesa Kombi ametangaza kwamba Clarence Seedorf hatoendelea kuwa kocha wa Timu ya Taifa hilo kuanzia sasa .
Bado haijatangazwa atakayetwaa nafasi yake
Unafikiri maamuzi ya Waziri ni sahihi?Kujua mpira sio kigezo cha kuwa kocha Bora kwakweli jamaa alikuwa na mashuti makali sijapata kuona
absolutely ! Haifahamiki hasa sababu ya Cameroon kumpa kazi Seedorf , maana kote alikopita hajawahi kufanikiwa walivutiwa na nini ?Unafikiri maamuzi ya Waziri ni sahihi?
Labda ule weusi wake.absolutely ! Haifahamiki hasa sababu ya Cameroon kumpa kazi Seedorf , maana kote alikopita hajawahi kufanikiwa walivutiwa na nini ?
Ni kweli mkuu,hata Thierry Hennry yalimshinda,alikua kocha wa Monaco kwa siku 104 tu kisha wakamtimua, japo wapo wachezaji wa zamani ambao ni makocha wazuri kama ZIdane.Kujua mpira sio kigezo cha kuwa kocha Bora kwakweli jamaa alikuwa na mashuti makali sijapata kuona
Hivi waziri anaweza kumfukuza kocha wakati FIFA hairuhusu viongozi wa kisiasa kuingilia masuala ya soka?Unafikiri maamuzi ya Waziri ni sahihi?
Je aliajiriwa na nani ?Hivi waziri anaweza kumfukuza kocha wakati FIFA hairuhusu viongozi wa kisiasa kuingilia masuala ya soka?
Kwa kawaida hua wana ajiriwa na nani? na sheria za Fifa zinasemaje? nijuavyo mimi,makocha huajiriwa na vyama vya soka vya nchi husika.Je aliajiriwa na nani ?
Hizo sheria ziliondoka na Blutter,sa hivi mwendo mdundo tu.Hivi waziri anaweza kumfukuza kocha wakati FIFA hairuhusu viongozi wa kisiasa kuingilia masuala ya soka?
👍Chama cha soka Cameroon jichunguzeni wenyewe,na nyie TFF ya Bongo mjichunguze pia NA MUWAJIBIKE KWANZA KABLA YA KUMUWAJIBISHA YEYOTE.