Class review za CFA (Chartered Financial Analyst) Dar es salaam.

stanlthecreator

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,947
Reaction score
648
Wadau msaada wa class review za CFA hapa dar es salaam na any additional information kama mnazo!God bles u
 
Nakutakia kila la heri katika masomo yako.

Sina msaada sana kwani si fani yangu, ila tu nilitaka kusema nikiona threads kama hizi nafarijika kwamba kuna watu wanasoma na kujiendeleza.

Sio kila thread mauzauza mambo zigizaga, shaghalabagala kama Solid Ground Family.
 
kinda A3 pale karibu na Dar tech wanaweza kukupa jibu ....
 
Nakutakia kila la heri katika masomo yako.

Sina msaada sana kwani si fani yangu, ila tu nilitaka kusema nikiona threads kama hizi nafarijika kwamba kuna watu wanasoma na kujiendeleza.

Sio kila thread mauzauza mambo zigizaga, shaghalabagala kama Solid Ground Family.

Tupo pamoja mkuu
 
Jamani kuna mtu atakuwa amepata msaada wa hili suala nami naomba jibu kwani ni muhitaji pia
 
Back
Top Bottom