stanlthecreator
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,947
- 648
kinda A3 pale karibu na Dar tech wanaweza kukupa jibu ....
Nakutakia kila la heri katika masomo yako.
Sina msaada sana kwani si fani yangu, ila tu nilitaka kusema nikiona threads kama hizi nafarijika kwamba kuna watu wanasoma na kujiendeleza.
Sio kila thread mauzauza mambo zigizaga, shaghalabagala kama Solid Ground Family.
Jamani kuna mtu atakuwa amepata msaada wa hili suala nami naomba jibu kwani ni muhitaji piaWadau msaada wa class review za CFA hapa dar es salaam na any additional information kama mnazo!God bles u