raphael joseph
Member
- Sep 26, 2015
- 22
- 14
Ni kweli ila nguo za maana ni bei juu pia na ukizingatia nguo za kiume bei zake ni ghaliKuwa na pesa ni kuwa na pesa lakini kuvaa vizuri kunajieleza vya kutosha. Unaweza kua na pesa ukawa mchafu isilete maana[emoji1465][emoji574]️[emoji3452][emoji3543]
Sent from my iPhone using JamiiForums
ni kweli ila nguo za maana ni bei juu pia na ukizingatia nguo za kiume bei zake ni ghali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana maana sisi tuko wa kiume tupu kuzaliwa na hata watoto wangu wote ni wa kiume mpaka sasa ndo natafuta wa kike. bei ni hatari kuvalisha hawa wanajeshi wangu.
Hapo kitaalam inatakiwa tai ya rangi ganiDressing codes have a story to tell about you even before you speak. It creates an attraction wave to the people around you each second. Why dont you try this combination and walk out one day in style. Welcome to the GENTLEMEN’S WORLD[emoji289]
View attachment 1453132
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapo kitaalam inatakiwa tai ya rangi gani
hizo zinaitwa "wanchoma kumoyo"!Sijui nimevamia uziii.
Anyway tile tuviatu tumechongoka please mwisho mwaka huu.
Sijui ndo mnaita sharpshooters? I hate those shoes
Aisee.hizo zinaitwa "wanchoma kumoyo"!
Tai ya nini sasa hapo mkuu hiyo code inaliwa kavuBlue au black plain inafaa🧵
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tai ya nini sasa hapo mkuu hiyo code inaliwa kavu
Tai ya nini sasa hapo mkuu hiyo code inaliwa kavu
Hio ya juu si 4 engo, kitambo sana!Aisee.
Zina kajina kengine kamenitoka sijui Winkle pinkle
Maji ya kirobaHio ya juu si 4 engo, kitambo sana!
shati ikishakua na mistari namna hiyo hakuna haja ya tai.Hapo kitaalam inatakiwa tai ya rangi gani