mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Sikumbuki mara ya mwisho mtu mwenye akili timamu kupatikana huko usukuleni ni lini. Mwongaza misukule alishasema ; Kule usukuleni mwenye akili ni Sunday Manara kidogo na JK. Sasa wewe unaropoka tu wakati ukweli unaujua kwamba mautopolo yote hamnazo. Ni kama mifuga mbwa vile.Yaan hakuna mashabiki wajinga duniani kama wa simba!! Kila siku wanaingizwa cha kikee adi huruma daa