Huja
JF-Expert Member
- Aug 7, 2021
- 1,167
- 1,848
Hakuna ubishi kwamba , Zinedine Zidane, Ronaldihno, Iniesta , Messi ni wachezaji waliokuwa na vitu vya ziada.
Mbali na kufunga , kuchezesha, kupiga pass lakini pia walikuwa football artist..
Ilikuwa mtu unatamani kufuatilia LA LIGA si tu kwa ajili ya matokeo ila burudani ya miguu ya mafundi hao ..
Hata mashabiki wa Barcelona walikuwa wakitazama mechi za hasimu wao Madrid ili kupata ladha za ZIZOU....
The same kwa Madrid fans wakipenda kuntazama UNIESTA ,na MESSI wa Barcelona
Clotous CHAMA anaipa taste NBC primier league...
Uniqueness hizi huwa haziji kila wakati ...Tumseme CHAMA kabla hajachoka, ..hata simba wakiwa ktk kiwango gani, ila CHAMA anawafanya fans wa simba kutua moyo... Lakini pia hadhi ya LIGI inayostahili kurushwa LIVE...