Clatous Chama na taste ya NBC premier league

Huja

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2021
Posts
1,167
Reaction score
1,848
Hakuna ubishi kwamba , Zinedine Zidane, Ronaldihno, Iniesta , Messi ni wachezaji waliokuwa na vitu vya ziada.
Mbali na kufunga , kuchezesha, kupiga pass lakini pia walikuwa football artist..

Ilikuwa mtu unatamani kufuatilia LA LIGA si tu kwa ajili ya matokeo ila burudani ya miguu ya mafundi hao ..
Hata mashabiki wa Barcelona walikuwa wakitazama mechi za hasimu wao Madrid ili kupata ladha za ZIZOU....
The same kwa Madrid fans wakipenda kuntazama UNIESTA ,na MESSI wa Barcelona


Clotous CHAMA anaipa taste NBC primier league...

Uniqueness hizi huwa haziji kila wakati ...Tumseme CHAMA kabla hajachoka, ..hata simba wakiwa ktk kiwango gani, ila CHAMA anawafanya fans wa simba kutua moyo... Lakini pia hadhi ya LIGI inayostahili kurushwa LIVE...
 
Upuuzi mwingine bana[emoji28], huyu kashindwa kucheza Berkane ndio anafananishwa na Messi au Iniesta??. Punguzeni mihemko ya kipuuzi, amecheza na timu gani bora?. Mechi ya yanga mbona alikuwa mtalii, vipi mechi ya Azam?.
Hahaha, mkuu unataka tukutajie timu ambazo chama amecheza na kuonesha ubora au vipi?

Mfano wa hizo timu ni,
Simba v kaizer chiefs
Simba v al ahly
Simba v Yanga
Na zingine nyingi tu.

Kusema chama hajui au overated sijui itakua unataka nini kwa mchezaji lakini kwa chama ukihitaji namba anazo na ukihitaji skills anazo pia.

Mwisho, hata wachezaji wakukwa hawawi bora katika mechi lakini wanakua bora katika msimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi mwingine bana[emoji28], huyu kashindwa kucheza Berkane ndio anafananishwa na Messi au Iniesta??. Punguzeni mihemko ya kipuuzi, amecheza na timu gani bora?. Mechi ya yanga mbona alikuwa mtalii, vipi mechi ya Azam?.
Soka ni mchezo wa wazi.....bila kujali UNAZI inapokuja suala la ku enjoy football....

Mfano tu bila kujali ushabiki , lazima mtu aone uwezo wa FEI TOTO......
.kama unataka ku- enjoy football usiweke mipaka
.
Kwa nini usisimame na ukapiga makofi kwa kitu extra ..!! .
Na ndio maana tunalipia uwanjani na ving'amuzi ili kufurahia talanta...
 
Upuuzi mwingine bana[emoji28], huyu kashindwa kucheza Berkane ndio anafananishwa na Messi au Iniesta??. Punguzeni mihemko ya kipuuzi, amecheza na timu gani bora?. Mechi ya yanga mbona alikuwa mtalii, vipi mechi ya Azam?.
Ubaguzi
 
Kiukweli kitendo cha mimi kukosa kuangalia mpira wa leo ni kukosa burudani murua sana
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] Amefanya nini?
 
Derby mbili zilizopita ametoa asisst unaongelea ipi?
Naongelea ipi kivipi! Na wakati tangu aliporudi kutoka Berkane, mlimbatiza jina la kiungo konokono!

Na hata hizo assist sijui ndiyo zipi hizo! Au ni kwenye mechi mlijitutumua, na kupata sare? Maana zaidi ya hapo mliishia tu kufungwa.
 
Unamshushaje Chama Kwa Maneno?

Huyu unatakiwa umshushe pale Kati Ya Uwanjani...!

Na ili umshushe Kwa Sasa Ulimwenguni unatakiwa Uwe Na Mchezaji Kiwango cha 'Gaucho Enzi Zake'
Sio Hawa Kina Aziza,sijui Fei Na Wengine...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…